January 07, 2017

YANGA YAPATA KIPIGO CHA 4G KUTOKA AZAM FC, YACHARAZWA 4-0 KOMBE LA MAPINDUZI.

Timu ya soka ya Yanga ya Dar es Salaam, imebugizwa mabao 4-0 na Vijana wa Chamazi, Azam Fc kwenye pambano la kukata na mundu la michuano ya kombe la Mapinduzi kwenye uwanja wa A man mjini Unguja usiku huu Januari 7, 2017.
 

Reactions:

No comments:

Post a Comment