Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Balozi wa China nchini, Mhe. Lu Youqing alipofika Wizarani kwa ajili ya mazungumzo kuhusu ushirikiano kati ya Tanzania na China. |
Sehemu
ya Ujumbe kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki wakifuatilia mazungumzo kati ya Mhe. Mahiga na Balozi Lu
(hawapo pichani). Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Asia na
Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya
Serikali, Bi. Mindi Kasiga, Maafisa Mambo ya Nje, Bw. Emmanuel Luangisa
na Bw. Benedict Msuya.
Ujumbe kutoka Ubalozi wa China
Mhe. Dkt. Mahiga akiagana na Balozi Lu mara baada ya mazungumzo yao.
No comments:
Post a Comment