Mjane wa Mpigapicha, Mpoki Bukuku, Lilian Bukuku (aliyeshika kitambaa) akifarijiwa na waombolezaji waliofika nyumbani kwake kuomboleza kifo cha mumewe kilichotokea juzi kwa kugongwa na gari akitokea kazini. Mwili wa Bukuku unataraji kuagwa kesho nyumbani kwake na kusafirishwa kwenda Msalato Dodoma kwa Mazishi.
Waombolezaji wakimfariji mama Mzazi wa Marehemu Bi Alice Bukuku
Waombolezaji wakiwafariji wafiwa
Waombolezaji wakiwa ndani wakifariji familia ya Marehemu Mpoki Bukuku.
wanahabari wakiwa katika msiba wa Mwandishi mwenzao.
Waziri wa Zamani wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ni mmoja wa watu waliokuwa marafiki na wakafanya kazi pamoja na Marwehemu Bukuku, nae amefika nyumbani kwa marehemu kuwafariji wafiwa.
No comments:
Post a Comment