December 19, 2016

WAZIRI KAIRUKI WATANGAZA UTEUZI WA MA-DAS

  
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angela Jasmine Kairuki akitangaza majina ya Makatibu Tawala wa Wilaya 27 walioteuliwa pamoja na vituo vyao vya kazi leo Ofisini Kwake jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment