December 19, 2016

BALOZI KIJAZI ATANGAZA UTEUZI WA WENYEVITI WA BODI ZA TAASISI ZA SERIKALI

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akitangaza majina ya walioteuliwa kuwa wenyeviti wa bodi za taasisi za serikali,Mwenyekiti wa Baraza la Uwezeshaji Wananchi na Mjumbe wa Baraza la Taifa la  Biashara Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 19, 2016

No comments:

Post a Comment