December 06, 2016

MKUTANO MKUU WA WAMILIKI NA WAENDESHAJI WA BLOGGERS TANZANIA WAFANYIKA JIJINI DAR

Chama cha Wamiliki wa Blogs Tanzania (TBN) jana kilianza mafunzo yanayofuatiwa na Mkutano wake Mkuu unaofanyika leo jijini Dar es Salaam na pichani ni meza kuu wakati wa ufunguzi ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali, Hassan Abbas.
Maxence Melo wa Jamii Forum akitoa somo kwa Bloggers juu ya namna bora ya uendeshaji wa moitandao yao.
Bloggers wakiwa makini kusikiliza Nondo zilizokuwa zikishushwa na Maxence Melo. BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.

Maxence Melo akiendelea kushusha nondo.
Wadhamini kutoka NMB wakifuatailia mafunzo hayo ya Bloggers
washiriki wakifuatilia mada.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO ambae pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Hassan Abbas akifungua Mkutano na mafunzo hayo.
Bloggers wakimsikiliza mgeni rasmi.
Bloggers wakifuatilia hotuba.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO ambae pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Hassan Abbas. Kushoto ni Mwenyekiti wa TBN,
Blogger Saria akitoa neno la shukrani.
Mmoja wa Blogger, Krants Mwantepele akitoa mada
Bloggers wakifuatilia kwa makini mada ya Mwantepele.
Blogger Khalfan Said akinasa taswira
Blogger Willium Malecela 'Lemutuz' akichangia mada
Picha ya pamoja ilipigwa kwa washiriki wote.

No comments:

Post a Comment