December 05, 2016

MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI, DKT. HASSAN ABASS AJIUNGA NA PSPF

Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas, (kushoto), akikabidhiwa fomu ya uanachama wa Mfuko baada ya kufanya taratibu za kuijaza fomu hiyo, Desemba 5, 2016.

Dkt. Abassa, akijaza fomu hiyo kwa usaidizi wa Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi (kulia)

 Dkt. Abass(kushoto), akiweka dole gumba kwenye fomu hiyo
 Dkt. Abass (kushoto), akwia amekamata fomu hiyo kabla ya kuijaza wakati Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi, akimpatia maelezo zaidi ya utaratibu wa kujaza fomu hiyo
 Dkt. Abbas, akiongozana na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi, kuelekea ofisini kwake tayari kujaza fomu hiyo
Dkt. Abassa, akizungumza na Mwenyekiti wa Mtandao wa Bloggers Tanzania, (TBN), Bw. Joachim Mushi, (wapili kulia) na Katibu wa TBN, Bi. Khadija Khalili (watatu kulia), na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa PSPF, Bw. Abdul Njaidi, muda mfupoi baada ya Dkt. Abbas, kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa TBN kwenye ukumbi wa Golden Jubilee Towers jijini Dar es Salaam, Desemba 5, 2016. PSPF ni mmoja wa wadhamini wa Mkutano huo.

No comments:

Post a Comment