Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce Msiru akisalimiana na Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhanidisi Gerson Lwenge alipowasili katika Mamlaka hiyo kwa ajili ya uzinduzi wa bofi mpya ya MUWSA.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akitia saini katika kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika ofisi za Mamlak ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) kwa ajili ya uznduzi wa bodi.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa bodi mpya ya Mamlaka hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) Prof ,Faustine Bee akizingumza katika hafla hiyo ikiwa ni pamoja na kufanya utamburisho wa wageni waliohudhuria hafla hiyo.
Mbunge wa jimbo la Moshi vijijini ,Anthony Komu akisalimia mara baada ya kutamburishwa katika hafla hiyo.
Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro,Aisha Amour (katikati) akiwa na wakuu wa wilaya,kulia ni Mkuu wa wilaya ya Moshi,Kippi Warioba na kushoto ni Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa wakiwa katia hafla hiyo.
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Meck Sadiki akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA).
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce Msiru akitoa taarifa ya Mamlaka kwa mgeni rasmi wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi mpya ya Wakurugenzi wa Mamlaka hiyo.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mjini Moshi (MUWSA) Sharry Raymond (MB) akizungumza wakati wa kuaga rasmi kwa niaba ya wajumbe wenzake wa bodi waliomaliza muda wake.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akiteta jambo na Mbunge wa jimbo la Moshi mjini ,Jafary Michael.katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa MUWSA,Prof ,Faustine Bee.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Bodi mpya ya Mamlaa ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA).
Waziri wa Maji na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Mhandisi Gerson Lwenge akionesha zawadi ya Tablet zilizotolewa kwa wajumbe wa bodi waliomaliza muda wake.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akimkabidhi Tablet Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Prof Faaustine Bee.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akimkabidhi Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce Msiru zawadi ya Tablet.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akimkabidhi
Mbunge wa jimbo la Moshi mjini Jafary Michael aliyekuwa mjumbe wa bodi ya MUWSA , zawadi ya Tablet.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akimkabidhi
Meneja wa Benki ya Azania tawi la Moshi ambaye pia ni mjumbe wa bodi hiyo,Hajira Mmambe zawadi ya Tablet.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akimkabidhi
Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali linalojishughulisha na masuala ya jinsia na wanawake (KWIECO) Bi Elizabeth Minde zawadi ya Tablet.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti Mpya wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Prof Faustine Bee.
Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Prof Faustine Bee akionesha vitendea kazi alivyokabidhiwa.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akimkabidhi Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi
wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) Joyce Msiru vitendea kazi kama mjumbe wa Bodi ya mamlaka hiyo .
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akimkabidhi Katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro ,Aisha Amour vitendea kazi kama mjumbe mpya Bodi ya mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA).
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akiwa na wajumbe wa bodi mpya ya Mamlaka ya Maji safi na Usafi
wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) mara baada ya kuzinduliwa.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa bodi iliyomaliza muda wake.ya Mamlaka ya majisafi na Usafi
wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) .
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akiwa katika picha
ya pamoja na wafanyakazi wa Mamlaka ya
majisafi na Usafi
wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) .
Waziri wa Maji na Umwagiliaji ,Mhandisi Gerson Lwenge akiwa katika picha
ya pamoja na wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa bodi mpya ya Mamlaka ya
majisafi na Usafi
wa Mazingira mjini Moshi (MUWSA) .
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
WAJUMBE
WA BODI MPYA YA MUWSA
- BIBI ELIZABETH MINDE
- ENG: ABDALLA MKUFUNZI
- BW: BONIFACE MARIKI
- BW: FILBERT KAHETA
- BIBI HAJIRA MMAMBE
- Mh. RAYMOND MBOYA
- Eng. AISHA AMOUR
- BW. MICHAEL MWANDEZI
WAJUMBE WA BODI ILIYOMALIZA MUDA WAKE
- Mh. SHALLY RAYMOND (MB)
- Mh. JAPHARY MICHAEL (MB)
- Eng. ALFRED SHAYO
- BW. JESHI LUPEMBE
0 comments:
Post a Comment