Nafasi Ya Matangazo

October 07, 2016

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (wapili kulia) akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kanali Martin Mkisi (kulia) alipofanya ziara wilayani humo na kukagua Hospitali ya wilaya Kasulu.

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kanali Martin Mkisi alipofanya ziara wilayani humo na kukagua Hospitali ya wilaya Kasulu.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma, Kanali Martin Mkisi alipofanya ziara wilayani humo na kukagua Hospitali ya wilaya Kasulu akipiga picha ya pamoja na wafanyakazi wa hospitali hiyo.
Posted by MROKI On Friday, October 07, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo