“United
Bank for Africa (Tanzania) Limited inapenda kuutaarifu umma kwamba
mahakama kuu kitengo cha biashara imeamuru kukamatwa kwa Bw. ABDALLAH
TWAIB SONGORO wa GREAT AFRICA LTD kwa kutolipa deni kama ilivyobainishwa
katika “Warrant of Arrest” ya kesi namba 168/2013 iliyotolewa tarehe 25th September 2016. Tunaomba yeyote anayejua taarifa zake awasiliane na benki kwa namba………
Imetolewa na UBA Bank kitengo cha masoko na mawasiliano.
Imetolewa na UBA Bank kitengo cha masoko na mawasiliano
Bw. PATRICK NGOWI wa HELVETIC SOLAR CONTRACTORS LTD kwa kutolipa deni kama ilivyobainishwa katika “Warrant of Arrest” ya kesi namba 81/2013 iliyotolewa tarehe 25th September 2016. Tunaomba yeyote anayejua taarifa zake awasiliane na benki kwa namba………”
Imetolewa na kitengo cha mawasiliano United Bank for Africa (Tanzania) Limited
No comments:
Post a Comment