Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla akizungumza leo katika mkutano
watendaji wa Vijiji na Kata Wilaya ya Rungwe
watendaji wa Vijiji na Kata Wilaya ya Rungwe
Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla amewataka watendaji wa Vijiji na kata kusimamia
sheria za mazingira kulinda vyanzo vya Maji
Hayo ameyasema Leo kwenye mkutano na watendaji wa
Vijiji na kata wilaya ya Rungwe na kusisitiza kuwa uharibifu wa mazingira na
uchafuzi ktk vyanzo vya Maji vitendo hivi vinafanyika maeneo yao hivyo ni
Muhimu wao kutoa Elimu ya utunzaji mazingira na kusimamia sheria ya mazingira
na kutunza vyanzo vya Maji
Amesema wananchi wasipo elimishwa athari za
uharibifu wa mazingira na kutoa imeamua sheria basi ni dhahiri Mkoa wa Mbeya
utakuwa jangwa na vyanzo vya Maji vitatoeka hivyo ni wajibu kila kiongozi na
mtendaji kuchukua hatua.
No comments:
Post a Comment