Nafasi Ya Matangazo

October 03, 2016

 Washiriki wa matembezi ya kuchangia wahanga wa Saratani ya matiti wakijiandaa kuanza matembezi katika viwanda vya taasisi ya Ocean Road

 Bendi ya Polisi ikiongoza matembezi hayo
 Washiriki katika matembezi hayo wakiendelea na matembezi.

WAFANYAKAZI  kutoka taasisi mbalimbali za serikali na makampuni  binafsi walijitokeza kwa wingi mwishoni mwa wiki kushiriki matembezi ya hisani ya kuchangia matibabu ya saratani katika taasisi ya Saratani ya Ocean Road iliopo jijini Dar es Salaam.

Miongoni mwa kampuni ambayo wafanyakazi wengi walijitoa kushiriki katika tukio hilo la hisani ni kampuni ya TBL Group

Baadhi ya washiriki wa matembezi hayo walieleza kuwa wameguswa na changamoto zilizopo katika kukabiliana na ongezeko kubwa la wagonjwa wa Saratani nchini na kuahidi kuwa watazidi kujitoa  kusaidia wahanga wa ugonjwa huu na kufikisha elimu kwenye jamii jinsi ya kuutambua na kuwahi kupata matibabu zinapojitokeza dalili za ugonjwa huu ambao unazidi kusababisha vifo vya wananchi wengi
Posted by MROKI On Monday, October 03, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo