Nafasi Ya Matangazo

October 06, 2016

 Meneja wa Mipango na Uvumbuzi wa Benki ya DCB, Samwel Dyamo katikati akizungumza wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja kwa benki hiyo.
Meneja wa Mipango na Uvumbuzi wa Benki ya DCB, Samwel Dyamo katikati akizungumza wakati wa uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja kwa benki hiyo.
Meneja wa Mipango na Uvumbuzi wa Benki ya DCB, Samwel Dyamo jinsi ya kutumia kifaa cha kisasa kitakacho tumiwa na wateja kutoa maoni juu ya huduma za benki hiyo.
 Wafanyakazi wa Benki ya DCB na wateja wao wakikata keki
Meneja wa Mipango na Uvumbuzi wa Benki ya DCB, Samwel Dyamo akimlisha keki mmoja wa wateja wa benki hiyo katika kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja Dar es Salaam jana.
 Wafanyakazi wa Benki ya DCB makao Makuu wakiwa katika picha ya pamoja.
 Wafanyakazi wakipiga picha na wateja wao.
Mkurugenzi wa kampuni ya Mindsource, Abubakar Faraji (kushoto) akimuelekeza Meneja wa Mipango na Uvumbuzi wa Benki ya DCB, Samwel Dyamo jinsi ya kutumia kifaa cha kisasa kitakacho tumiwa na wateja kutoa maoni juu ya huduma za benki hiyo.BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI.

Meneja wa DCB tawi la Benjamin Mkapa Badru Lashku akimlisha keki mmoja wa wateja.
DCB Tabata nao wakisherehekea
Benjamin mkapa City Branch wakisheherekea wiki ya huduma kwa wateja pamoja na wateja wao. Mwenye koti jeusi ni meneja wa tawi hilo Badru Lashku
DCB Tawi la Kariakoo nao wakisherehekea wiki ya huduma kwa wateja


Meneja wa Tawi la DCB Temeke, Abdallah Myoba akiwapa keki wateja wa tawi hilo.
Posted by MROKI On Thursday, October 06, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo