Meneja
Habari na Mawasiliano wa kampuni ya simu ya Zantel, Winnes Lyaro (katikati)
akikabidhi mbuzi mmoja wa washindi wa shindano la jibwage na mbuzi, Ahmad ali
Salehe kwaajili ya kusherehekea Sikukuu ya Idd El Hajj, Dar es Salaam juzi.
Meneja
Habari na Mawasiliano wa kampuni ya simu ya Zantel, Winnes Lyaro (kushoto)
akikabidhi mbuzi mmoja wa washindi wa shindano la jibwage na mbuzi, Ahmad ali
Salehe kwaajili ya kusherehekea Sikukuu ya Idd El Hajj, Dar es Salaam juzi.
Kampuni ya simu ya ZANTEL
yafikia kilele cha Jibwage na mbuzi kwa kuwazawadia wateja wake walioshiriki
promosheni hiyo jumla ya mbuzi 400 pamoja na kutoa mbuzi 100 katika vituo mbali
mbali vya watoto Yatima nchini.
Mkurugenzi wa mauzo wa Zantel, Ibrahim Attas (kulia)
akikabidhi mbuzi kwa mshindi, Aly Rashid jana.
Mbuzi
wanaosubiri kuchukuliwa na wateja waliopata ushindi wa promosheni ya jibwage na
mbuzi.
Mkuu wa Zantel Zanzibar, Mohamed
Mussa Baucha(wa pili kulia) akikabidhi mbuzi kwa washindi wa promosheni ya
jibwage na mbuzi.
No comments:
Post a Comment