Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango (kulia), akifanya mazungumzo
na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Alphayo Kidata
(kushoto), kujadili masuala mbalimbali ya Usimamizi wa Kodi wa kati Waziri huyoa
lipotembelea Makao Makuu ya TRA jijini Dar es Salaam Septemba 19, 2016.
Kamish na Mkuu wa
Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Alphayo Kidata (kulia), akiagana na Waziri wa
Fedha na Mipango, Dk.Philip Mpango (kushoto), baada ya Waziri huyo kutembelea Makao
Makuu ya TRA jijini Dar es Salaam Septemba 19, 2016, ambapo wawili hao walijadili masuala mbalimbali
ya Usimamizi wa Kodi.
No comments:
Post a Comment