September 27, 2016

MTENDAJI MKUU MPYA WA TTCL AWASILI OFISINI KWAKE.

 Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) anayemaliza muda wake, Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akipeana mkono na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba, leo alipotembelea Makao Makuu ya TTCL na Mtangulizi wake, Dkt. Kazaura.
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) anayemaliza muda wake, Dk. Kamugisha Kazaura (kulia) akizungumza na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba (kushoto), leo alipotembelea Makao Makuu ya TTCL na Mtangulizi wake, Dkt. Kazaura.[/caption] KAIMU Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba, leo ametembelea Makao Makuu ya TTCL na kukutana na Mtangulizi wake, Dk. Kamugisha Kazaura. Utambulisho wa awali wa kiongozi huyo mpya umefanywa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano, anaesimamia sekta ya Mawasiliano Prof Faustine Kamuzora. Makabidhiano rasmi ya ofisi yatafanyika baadae.
  Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) anayemaliza muda wake, Dk. Kamugisha Kazaura (kushoto) akikumbatiana na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba, leo alipotembelea Makao Makuu ya TTCL na Mtangulizi wake, Dk. Kazaura.
 Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Bw. Waziri Waziri Kindamba, leo ametembelea Makao Makuu ya TTCL na kukutana na Mtangulizi wake, Dkt. Kamugisha Kazaura. Wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi waandamizi wa TTCL.

No comments:

Post a Comment