September 21, 2016

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AMTEMBELEA NA KUMJULIA HALI MZEE SITTA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na  Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel Sitta alipomtembelea na kumjulia hali jijini Dar es Salaam

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na  Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mzee Samuel Sitta (katikati) anayeendelea vizuri na matibabu jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mke wa Mzee Sitta Mama Margaret Sitta.

No comments:

Post a Comment