JUA linavyoonekana likiwa na umbo la pete baada ya kuaptwa na mwezi jana majira ya saa 5:15 asubuhi katika anga ya kijiji cha Ihanga, Kata ya Rujewa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya Septemba 1,2016. Tukio hili lilivuta umati wa watu kushuhudia tukio hilo la kisayansi.
Jua likianza kuachiwa na mwezi.
Jua lilipoanza kupatwa na jana.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla akiangalia jua lilivyopatwa kipete jana katika Kijiji cha Ihanga, Kata ya Rujewa Wilayani Mbarali mkoani Mbeya.
Wanafunzi wakitazama jua kwa kifaa maalum
Wageni nO walifika Rujewa kushuhudia tukio hilo.
Askari waliimarisha ulinzi.
Watu walikua wengi na vifaa vilikua vichache hivyo walilazimika kugawana.
Mbarali walitumia njia hiyo kutangaza fursa walizonazo.
Viongozi walio hudhuria wakiwa katika hema lao.
Mtaalam kutoka Chuo Kikuu Huria akielezea tukio hilo na umuhimu wake katika rlimu.
Ulinzi mkali...
0 comments:
Post a Comment