Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasilikiliza wafanyakazi wa UPL alipowasili katika ofisi hizo leo. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana |
Mkuu wa Kitengo cha kompyuta, wa UPL, Moses Makambi akimpatia maelezo Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli, alipoingia chumba cha Usanifu wa kurasa, |
Mkuu wa Kitengo cha kompyuta, wa UPL, Moses Makambi akimpatia maelezo Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli, alipoingia chumba cha Usanifu wa kurasa, BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI. |
Kaimu Mharuri Mtendaji wa UPL. Ramadhani Mkoma akiongoza Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli kuingia katika chumba cha habari kuzungumza na wafanyakazi |
Mwenyekiti wa CCM, Rais John Magufuli akiingia katika chumba cha Habari cha Uhuru Publications kuzungumza na wafanyakazi |
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpatia maelezo ya utangulizi, Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli. Kushoto ni Kaimu Mhariri Mtendaji, wa UPL Ramadhani Mkoma |
Wafanyakazi wakiwa ukumbini |
Wafanyakazi wakifuatilia kwa makini mazungumzo yao na Rais Dk. Magufuli |
Mwenyekiti wa CCM, Dk. John Magufuliu akiandika wakati Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Ramadhani Mkoma akieleza changamoto zinazowakabili wafanyakazi katika utendaji kazi wao wa kila siku |
Baadhi ya wafanyakazi wakishangilia baada ya Mwenyekiti wa CCM, Dk. John Magufuli kuahidi kushughulikia kero zao kwa nafasi yake ya Ueneyekiti wa CCm |
Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. Magufuli akimsikiliza Kaimu Mhasibu Mkuu wa UPL huku akinukuu dondoo muhimu |
Mwenyekiti wa Chama Cha Wafayakazi wa UPL cha RAAWU, Moses Makambi akieleza changamoto kwa Dk. Magufuli |
Ukumbi wakati wa mkutano wa wafanyakazi wa UPL na Mwenyekiti wa CCM, Dk. Magufuli |
Katibu Mkuu wa CCM, akimfafanulia jambo Dk. Magufuli |
Wafanyakazi wakiwa wametulia kufuatilia alichokuwa akisema, Dk Magufuli |
Dk. Magufuli akitaka ufafanuzi wa jambo kutoka kwa Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL |
Mfayakazi wa UPL Fred Majaliwa akieleza kero anazooma zinakwamisha utendaji wa kazi za UPL |
Rhoda Kangero kutoka Idara ya Rasilimali watu, akieleza kero na changamoto |
Wafanyakazi wa UPL wakimuombea dua Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli |
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimshauri jambo, Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli nje ya Ofisi za UPL. Kulia ni Msemaji wa CCM, Christopher Ole Sendeka |
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia wananchi kabla ya kuondoka baada ya kuzungumza na wafanyakazi wa UPL |
Wafanyakzi wa UPL wakimshangilia Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli wakati akiondoka ZIFUATAZO NI SHAMRASHAMRA ZA WAFANYAKAZI WA UPL, BAADA YA UJIO WA DK. MAGUFULI KATIKA OFISI ZAO LEO |
PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO |
0 comments:
Post a Comment