August 17, 2016

YANGA 'WANAKULAGA' AZAM YA ICHAPA 6-3 NGAO YA JAMII LEO

Kikosi cha Azam FC ambacho leo kimeiadhibu yanga kwa bao 6-3  Aishi Manula, Islamail Adam, Bruce Kangwa, David Mwantika, Himid Mao, Jean Mugiraneza, Shmari Kapombe, Salum Aboubakar, John Bocco (Nahodha), Shaban Chilunda na Ramadhan Singano.

Benchi la akiba walikuwepo, Mwadin Ally, Frank Domayo, Francisco Zekumbariwa, Abdallah Masoud, Bolou Kipre, Mudathir Yahya na Gadiel Michael .


Kikosi cha Yanga kilichokubali kichapo cha bao 6-3 leo uwanja wa taifa kutoka Azam kiliongozwa na Vicent Bossou (Nahodha), Deogtatius Munishi, Haji Mwinyi, Hassan Kessy, Mbuyu Twite, Thaban Kamusoko, Said Juma, Haruna Niyozima, Amissi Tambwe, Donald Ngoma na Juma Mahadhi.  

Katika Benji walibaki Benno Kakolanya, Malimi Busungu, Matheo Anthony, Oscar Joshua, Pato Ngonyani, Deus Kaseke na Simon Msuva.

*************
BAADA ya kufakamia lambalamba za Azam FC katika kipindi cha kwanza Wawakilishi wa kimataifa wa Tanzania Yanga SC iliamua sasa kutumia nazi za Azam kuweka katika Supu waliyoandaa kwaajili ya kuzimulia kasi yao mpya  ya msimu mpya wa 2016/2017 wa soka la Tanzania.

Yanga imeamua kutia supu nazi!! Licha ya kuongoza katika dakika 45 za awali kwa kuwa mbele kwa bao 2-0, lakini walishindwa kuwadhihirishia wapenzi na mashabiki wao kuwa wao ni wakimataifa baada ya kulazwa chali na Washindi wa pili wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara msimu ulipita Azam FC kwa jumla ya bao 6-4.

Magoli katika mchezo huo yalipachikwa kwa yanga yalipachikwa kiamini na Donald Ngoma (2) na mkwaju wa penati ulifungwa na mlinda Mlango Deogtatius Munishi (1) huku Shaban Kessy na Haruna Niyozima wakiambulia patupu.

Magoli ya Azam yalipachikwa na Somari Kapombe (2), John Bocco (2) Mao Mkami (1) na Bolou Kiprea (1)

Hadi dakika tisini zina malizika na kipenga cha mwamuzi Ngole Mwangole kutoka Mbeya kinalia kuashiria kumalizika kwa dakika 90 timu hizo zilikuwa sare  ya goli 2-2 na kulazimika kwenda katika hatua ya matuta ili kumpata bingwa.

Ni hapo katika Matuta ndipo Yanga ikaonesha dhahiri kunywa mchuzi wa nazi na si Supu tena kwa kuambulia mikwaju 2 ya penati dhidi ya 4 ya Azam FC.

Katika Ngao ya Hisani Yanga imewahi kuifunga Azam mara mbili ambapo katika mchezo wa kwanza 2012  Yanga 1 Azam 0 na Mchezo wa pili 2014 Yanga

No comments:

Post a Comment