Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine
Mahiga akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mwakilishi mpya wa
Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) hapa nchini, Bw. Michael
Dunford. Hafla hiyo fupi ilifanyika Wizarani tarehe 17 Agosti, 2016.
Mhe. Waziri Mahiga akizungumza na Bw. Dunford mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho
Bw. Dunford nae akimweleza jambo Mhe. Waziri
Mazungumzo
kati ya Mhe. Mahiga na Bw. Dunford yakiendelea. Wengine katika picha ni
Bi. Eva Ng'itu (kushoto) na Bi. Sekela Mwambegele, Maafisa Mambo ya
Nje.
No comments:
Post a Comment