Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubia mamia ya wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza mara baada ya
kuwasili akitokea Chato mkoani Geita.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella mara baada ya
kuwasili katika Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
wanakwaya wa UWT Kisima cha maji Chumvi mara baada ya kuhutubia wakazi
wa Sengerema mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Mwalimu Mstaafu wa Shule ya Sekondari Sengerema Wilson
Fumbuka Mbanga ambaye walifundisha naye shule hiyo tokea mwaka 1982-1985
mara baada ya kumaliza mkutano wa hadhara Sengerema Mkoani Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaagana
na wakazi wa Sengerema mkoani Mwanza mara baada ya kumaliza kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa Busisi wakati akielekea Mwanza.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ndani
ya kivuko cha MV. Misungwi wakati akielekea mkoani Mwanza.
No comments:
Post a Comment