Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Ally Mtopa (kushoto) ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza masuala mbali mbali ya kisiasa na ya kijamii na
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Lindi Mzee Ally Mtopa ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment