August 16, 2016

MABALOZI WASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ABOUD JUMBE MWINYI

Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Finland Bw. Simo Pekla Parvianen akisaini kitabu cha Maombolezo  katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo kufuatia kifo cha Rais Mstaafu  wa Awamu ya pili Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.
Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania Bi. Monica Patricio Mussa  akisaini kitabu cha Maombolezo  katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo kufuatia kifo cha Rais Mstaafu  wa Awamu ya pili Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.



Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Elitrea Bw. Saleh Azaril akisaini kitabu cha Maombolezo  katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo kufuatia kifo cha Rais Mstaafu  wa Awamu ya pili Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.

Kaimu Balozi wa Burundi nchini Tanzania Bw. Pierre Ndayishimiye akisaini kitabu cha Maombolezo  katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo kufuatia kifo cha Rais Mstaafu  wa Awamu ya pili Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.



Mwakilishi kutoka Ubalozi wa Angola Bw. Joel Cumbo akisaini kitabu cha Maombolezo  katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo kufuatia kifo cha Rais Mstaafu  wa Awamu ya pili Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi.

No comments:

Post a Comment