Kampuni ya TBL Group imewatunukiwa tuzo wafanyakazi wake tuzo ya MOTISHA kwa kutambua mchango mkubwa walioutoa kuleta mafanikio kwa kampuni katika kipindi cha mwaka uliopita.
Hafla ya kukabidhi tuzo zinazojulikana kama “Tuzo za Motisha za TBL Group” ilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City na ilihudhuriwa na wafanyakazi zaidi ya 300 kutoka viwanda vyote vilivyopo chini ya kampuni hiyo kutoka mikoa ya Dar es Salaam,Kilimanjaro,Mbeya na Mwanza na kiwanda cha Mwanza kilitunukiwa tuzo ya ushindi wa jumla .
Wafanyakazi wakipokea tuzo zao.
Ilikua ni furaha kwao.
BOFYA HAPA KUONA ZAIDI. Wafanyakazi wakisheherekea ushindi wa tuzo ya Motisha kwa furaha
Burudani mbalimbali za muziki pia zilikuwepo
No comments:
Post a Comment