Katibu Mkuu wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) Balozi Liberat Mfumukeko akila kiapo cha kushiriki katika Bunge la Jumuia hiyo (EALA) mjini Arusha leo.
Katibu Mkuu wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) Balozi Liberat Mfumukeko akisaini hati ya kiapo.
Spika wa Bunge la Afrika Mashariki, Daniel Kidega akimpongeza Katibu Mkuu wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) Balozi Liberat Mfumukeko baada ya kula kiapo.
Katibu Mkuu wa Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) Balozi Liberat Mfumukeko akiongozwa na kuingia ndani ya Bunge na Katibu wa Bunge hilo Kenneth
Madete na nyuma yake ni Wabunge Hafsa Mossi na Isabelle Ndahayo wakimsindikiza.
Mbunge wa EALA kutoka Tanzania, Abdullah Mwinyi akizungumza wakati wa mkutano huo wa Bunge.
Mbunge wa EALA kutoka Tanzania, Shy-Rose Banji akizungumza wakati wa mkutano huo wa Bunge.
No comments:
Post a Comment