October 17, 2015

TANGAZO: IBRAHIMU ZUBEIR 'KIKATIO' CHAKO CHA UCHAGUZI KIMEOKTWA

Ibrahim Zubeir, Mkazi wa Karume, na ambaye ulijiandikisha katika Kituo cha Serikali za Mtaa B, tafadhali wasiliana na msamaria mwema mwenye namba hii 0713411444 upate 'KIKATIO CHAKO' ulichopoteza. Tafadhali yeyote anaemfahamu kijana huyu amtaarifu haraka.

No comments:

Post a Comment