October 20, 2015

MASHINDANO YA TIGO IGOMBE MARATHON YAFANA MJINI TABORA




Washindi wa kike wa mbio za Tigo Igombe marathon, wakiwa katika picha ya moja baada ya kushiriki mbio za Tigo Igombe marathon
Wanariadha wakianza mbio za Igombe marathon zilizo dhaminiwa na Tigo, mjini Tabora


Mgeni rasmi wa Tigo Igombe marathon, Bw.Suleiman Kumchaya, mkuu wa wilaya wa Tabora mjini, akiwahutubia washiriki wa mbio hizo (hawapo pichani), kulia kwake ni Bw.Kamara Kalembo, meneja masoko kanda ya Ziwa kutoka Tigo, na Kushoto ni OCD wa Tabora mjini
Washindi wa Igombe marathon kuanzia wa kwanza hadi wa tatu(wanaume na wanawake) wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi na wadhamini wa mbio hizo(Tigo)
 

Washiriki wa Tigo igombe marathon wakiwa katika picha ya pamoja na mgeni rasmi na wadhamini wa mbio hizo.

No comments:

Post a Comment