Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akimpongeza mmoja wa wakazi wa Ukonga
mara baada kughani shairi lililokuwa likimsifia kuwa ana sifa zote za
kuwa Rais wa Tanzania,kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mapema leo
asubuhi kwenye uwanja wa mpira wa Moshi Bara,Ukonga jijini Dar
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa jimbo la
Ukonga mapema leo mchana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye
uwanja wa mpira wa Moshi Bara,Dkt Magufuli amemaliza mkutano wake wa
kampeni jimbo la Kisarawe,Ukonga na baadae anatarajia kuhutubia mkutano
wa Kampeni Pemba na Unguja.
Wakazi wa Ukonga wakishangilia kwenye mkutano huo wa kampeni.
Mgombea
Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwahutubia wakazi wa jimbo la Ukonga mapema
leo mchana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa mpira
wa Moshi Bara,Dkt
Magufuli amemaliza mkutano wake wa kampeni jimbo la Kisarawe,Ukonga na
baadae anatarajia kuhutubia mkutano wa Kampeni Pemba na Unguja.
Wakazi wa Ukonga wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Dkt John Pombe uliofanyika leo mchana kwenye uwanja wa mpira Moshi bar.
No comments:
Post a Comment