Mkurugenzi wa WiLDAF Dkt. Judith Odunga akitoa neno la ufungunzi katika maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike duniani
Naibu Mkurugenzi wa WiLDAF Ndugu Anna Kulaya akielezea tafiti mbalimbali zinazoonyesha hali ya ukatili wa kjinsia wanaokutana nao watoto wa kike
Mkurugenzi wa Bodi ya WiLDAF ndugu Edda Mariki akitoa neno la shukrani kwa wanafunzi walioshiriki katika siku ya mtoto wa kike duniani
Mwanafunzi kutoka shule ya Secondari Tandika akielezea ukatili wa kijinsia anaokutana katika mazingira mbalimbali.
Mwanafunzi akichangia mada wakati wa warsha ya siku ya mtoto wa kike duniani iliyoandaliwa na WiLDAF Tanzania
Mwanafunzi akichangia mada wakati wa warsha ya siku ya mtoto wa kike duniani iliyoandaliwa na WiLDAF Tanzania
Wanafunzi wakifuatilia mada wakati wa warsha ya siku ya mtoto wa kike duniani iliyoandaliwa na WiLDAF Tanzania
Washiriki kutoka katika timu za ulinzi wa mtoto na mashirika yasiyo yakiserikali wakifuatilia shuhuda mbalimbali wanazokutana nazo wanafunzi wakati wa maadhimisho ya mtoto wa kike duniani
Washiriki kutoka katika timu za ulinzi wa mtoto na mashirika yasiyo yakiserikali wakifuatilia shuhuda mbalimbali wanazokutana nazo wanafunzi wakati wa maadhimisho ya mtoto wa kike duniani
No comments:
Post a Comment