Mgombea Urais Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) anaeungwa mkono na Ukawa, Edward Lowassa akihutubia mkutano wa hadhara katika jimbo la Mikumi mkoani Morogoro hii leo.
Lowassa akiteta jambo na Mgombea Ubunge wa Chadema, Jimbo la Mikumi, Joseph Haule 'Prof J'.
No comments:
Post a Comment