Mamia ya
wapenzi wa Muziki waliofika kwenye ukumbi wa King Solomon kushuhudia fainali ya shindano la Bongo Star Search
walipata fursa ya kuona simu mbalimbali
za kampuni ya Huawei zilizopo kwenye
soko la hapa nchini pia wenye bahati waliweza kujishindia simu ya kisasa
aina ya P8 kutokana na droo iliyochezwa ukumbini hapo kabla ya shindano kuanza
. Huawei ilikuwa moja ya makampuni yaliyodhamini shindano hilo.
Afisa Mauzo Mwandamizi wa Huawei Sylivester Manyara (kulia) akimwonyesha mmmoja wa wateja
simu ya kisasa ya Huawei katika ukumbi wa King Solomon mwishoni mwa wiki
wengine
Afisa Mauzo Mwandamizi wa Huawei Sylivester Manyara (kulia) akimwonyesha mmmoja wa wateja
simu ya kisasa ya Huawei katika ukumbi wa King Solomon mwishoni mwa wiki
wengine
Mfanyakazi katika banda la Huawei akiwaonyesha wananchi moja ya simu ya kisasa ya Huawei iliyopo
kwenye soko mwishoni mwa wiki katika
ukumbi wa King Solomon jijini Dar e salaam.
Mfanyakazi katika banda la Huawei akiwaonyesha wananchi moja ya simu ya kisasa ya Huawei iliyopo
kwenye soko mwishoni mwa wiki katika
ukumbi wa King Solomon jijini Dar e salaam.
Baaadhi ya Maofisa na wafanyakazi wa Huawei wakiwa katika picha ya moja
katika meza ya huduma kwa wateja katika ukumbi wa King Solomon mwishoni mwa
wiki.
Meneja Masoko na Mauzo wa Huawei nchini Samson Majwala akimwonyesha mmoja wa wananchi waliofika kwenye meza ya huduma na mauzo na huduma sehemu ya kuweka karatasi ya bahati nasibu katika ukumbi wa King Solomon mwishoni mwa wiki
Baadhi ya wananchi waliofika kwenye onyesho la Bongo Star
Search kwenye ukumbi wa King Solomon mwishoni mwa wiki wakifuatilia droo ya
Huawei ambapo baadhi ya washabiki waliweza kujishindia simu za kisasa kutoka kampuni hiyo
No comments:
Post a Comment