Wanachama wa kikundi cha Capelaby Jogging wakiwa na watoto wa kituo cha
watoto yatima cha Valentine Chiden Home kilichopo njia panda ya buza
kitunda Dar es salaam
Mlezi wa kikundi cha Capelaby jogging Latifa Masasi kushoto akitoa msaada wa vyakula kwa watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha Valentine Children Home kilichopo buza njia panda ya kitunda Dar es salaam kulia ni Ester Damian pamoja na Nuru Edward |
Mlezi wa kikundi cha Capelaby jogging Latifa Masasi
kushoto akitoa msaada wa vyakula kwa watoto yatima wanaolelewa katika
kituo cha Valentine Children Home kilichopo buza njia panda ya kitunda
Dar es salaam kwa mlezi wa kituo hicho Sister Janeth Cuthert jana
Mlezi wa kikundi cha Capelaby jogging Latifa Masasi
kushoto akitoa msaada wa vyakula kwa watoto yatima wanaolelewa katika
kituo cha Valentine Children Home kilichopo buza njia panda ya kitunda
Dar es salaam kwa mlezi wa kituo hicho Lucy Lipenga Jana
Wanachama wa kikundi cha Capelaby Jogging wakiwa na watoto wa kituo cha
watoto yatima cha Valentine Chiden Home kilichopo njia panda ya buza
kitunda Dar es salaam
No comments:
Post a Comment