September 09, 2015

MICHUZI BLOG YAADHIMISHA MIAKA 10 YA KUANZISHWA KWAKE

 Maadhimisho ya Miaka 10 ya uanzishwaji wa MICHUZI BLOG hapa nchini chini ya Mkurugezi wake Ankal  Muhidini Issa Michuzi iliyofanyika ofisini kwake jijini Dra es Salaam leo.
 Keki  ya maadhimisho ya miaka  1o ya MICHUZI BLOG ikiwa na keki zenye majina ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA GROUP.
 Mr na Mrs Michuzi wakikata keki ya maadhimisho ya miaka 10, wakishuhudiwa na baadhi ya wafanyakazi wa MICHUZI MEDIA GROUP.
Mkurugezi wa MICHUZI MEDIA GROUP, Ankal  Muhidini Issa Michuzi akilishwa keki na mkewe  katika hafra fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.
 Mkurugezi wa MICHUZI MEDIA GROUP, Ankal  Muhidini Issa Michuzi akilmlisha keki mkewe.
PICHA ZAIDI BOFYA >>>JIACHIE BLOG

No comments:

Post a Comment