September 09, 2015

MAALIM SEIF AZINDUA KAMPENI ZAKE VISIWANI ZANZIBAR LEO, LOWASSA, DUNI WAMSINDIKIZA

 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa Ukawa wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi CUF, umefanyika hii leo katika Uwanja wa Demokrasia Kibanda Maiti, Zanzibar. Pichani juu ni Maalim Seif Sharif Hamad akiteta jambo na Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa. Wengine waliohudhuria ni Mgombea Mwenza, Juma Haji Duni pamoja na viongozi mbali mbali wa vyama vinavyounda Ukawa. Picha na Othman Michuzi.
Maelfu ya wakazi wa Zanzibar ambao ni wanachama na wafuiasi wa CUF wakiwa viwanjani hapo.

No comments:

Post a Comment