KATIKA GAZETI TANDO HILI UTAWEZA KUJIPATIA HABARI MOTO MOTO KATIKA PICHA ZA MATUKIO MBALIMBALI KUTOKA NDANI NA NJE YA TANZANIA HASA YALE YANAYOGUSA MAISHA YA KILA SIKU YA MTANZANIA.LUGHA KUU INAYOTUMIKA HUMU NI KISWAHILI.
July 16, 2015
DAVIS MOSHA ATANGAZA RASMI NIA YA KUGOMBEA UBUNGE KATIKA JIMBO LA MOSHI MJINI.
Mtangaza
nia ya Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha ,akiwa na meneja
kampeni wake Voctor (kushoto kwake pamoja na Goodluck Moshi.
Baadhi ya makada waliofika katika uwanja huo.
Msanii
wa filamu Tanzania Stephen Mengere maarufu kama Steve Nyerere alikuwa
ni mmoja wa makada wa chama hicho waliofika kutoa hamasa katika mkutano
huo uliofanyika katika uwanja wa Mashujaa.
No comments:
Post a Comment