July 16, 2015

Airtel Fursa fulfills a youth Dream in Mwanza

 Meneja huduma kwa jamii (wa pili kulia) bi Hawa Bayumi akiongea na Mariana Magombela huku wakishuhudiwa na ndugu wa Mariana na wafanyakazi wa Airtel mara baada ya kukabidhiwa zawadi ya pikipiki, banda la kukaushia samaki na vifaa vingine vingi, ambaye ni miongoni mwa vijana waliowezeshwa na  mpango wa Airtel Fursa “Tunakuwezesha” uliozinduliwa miezi miwili iliyopita jiji Dar Es Salaam.
 Meneja huduma kwa jamii (wa pili kulia) bi Hawa Bayumi akimkabidhi Mariana Magombela (katikati ) funguo ya pikipiki kama zawadi akiyopewa na Airtel baada ya kuwa miongoni mwa vijana waliowezeshwa na  mpango wa Airtel Fursa “Tunakuwezesha” wakishangilia ni ndugu wa Mariana na wafanyakazi wa Airtel walioshuhudia makabidhiano hayo jijini Mwanza.
Ndugu jamaa na marafiki wakishangilia kwa kumvika mataji Mariam.

No comments:

Post a Comment