January 05, 2015

SERIKALI TUPIENI MACHO BARABARA YA KIVULE DARAJA LA SIRALI

 Lori kubwa mizigo likipita katia daraja la Sirali, Kata ya Kivule Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam jana huku daraja hilo likiwa bovu na endapo lisipo fanyiwa matengenezo mapema linaweza kusababisha maafa au kukata kwa mawasiliano katika eneo hilo.
Magari madogo yakipita katika daraja hilo lililopo mto Mzinga. Jitihada za haraka zinahitajika kulikarabati daraja hilo kabla ya wanachi hao kukosa mawasiliano ya barabara pindi mvua zitakapo anza kunyesha baadae mwaka huu.
 Magari ya mizigo yanayopita njia hiyo ni mengi kutokana na mahitaji ya bidhaa wanazopeleka.
 Bodaboda nazo zikipita
 Lori hili lililona shehena ya mbao nalo linaenda kupita katika daraja hilo.
Hili lilisha peleka mzigio sasa linarudi.

No comments:

Post a Comment