Waziri wa Nishati na
Madini Profesa Sospeter Muhongo akisisitiza jambo kwenye mkutano na
wananchi wa kata ya Ijitu iliyopo wilayani Busega.
Sehemu ya umati wa wananchi
wa kata ya Kalemala wilayani Busega waliojitokeza kwenye mkutano na Waziri wa
Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo wakifuatilia kwa makini hotuba yake.
Waziri wa Nishati na
Madini Profesa Sospeter Muhongo (kulia) akitoa maelekezo kwa mtaalamu kutoka
kampuni ya Symbion iliyopewa kazi ya kujenga miundombinu ya umeme katika kijiji cha Nyamikoma kilichopo
wilayani Busega Bw. Steve Thomson
(kushoto)
Mkazi wa kata ya
Ijitu iliyopo wilayani Busega
ambaye jina lake halikupatikana mara moja akitoa hoja yake
mbele ya Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ( wa pili kutoka
kushoto waliosimama mbele) mara Waziri
alipofanya ziara katika kijiji hicho na kusikiliza kero za wananchi.
No comments:
Post a Comment