Mbunge wa Chato ambaye
pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiwasalimia baadhi ya Wajumbe waa
Chama cha Mapinduzi CCM waliofika katika hafla ya kupongezwa baada ya kupata
ushindi mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni.
Mbunge wa Chato ambaye
pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli kulia akijadiliana jambo na Katibu
wa CCM Wilaya ya Chato Hamis Mkaruka kuhusu mambo mbalimbali ya Chama.
Mbunge wa Chato ambaye
pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akihutubia mamia wa wanachama wa CCM
wilaya ya Chato waliojitokeza katika mkutano huo wa kupongezana.
Baadhi ya Wanachama wa
CCM Chato wakiwa katika picha ya pamoja na Mbunge wa Chato ambaye pia ni Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Magufuli mara baada ya Mkutano wao kumalizika.
Mbunge wa Chato ambaye
pia ni Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akipakua wali kwa ajili ya wajumbe
waliohudhuria mkutano huo wa kujipongeza kwa ushindi. Picha zote kwa Hisani ya
Mwandishi Maalum-Chato
No comments:
Post a Comment