December 24, 2014

UEFA GOO NIGHT CLUB NDIO HABARI YA MUJII HIVI SASA KUZINDULIWA LEO

1q 
Kiwanja kipya cha maraha Uefa Goo Night Club kiko tayari kuzinduliwa leo katika mkesha wa sikukuu ya Krismas jijini Dar es salaam.

Kiwanja hiki ni cha Kisasa sana kama utakavyoona taswira zake zikionyesha maeneo mbalimbali ndani ya klabu hiyo ambayo iko maeneo ya Ukonga Mombasa Barabara ya kuelekea Moshi Baa Karibu na njia panda ya Mahita mita 200 kutoka barabara kuu iendayo Pugu, katika siku ya mkesha wa Krismas burudani kibao zimeandaliwa na kiwanja hicho kimekamilika kila idara ili kuwapa burudani wateja wake ikiwa ni pamoja na Ligi mbalimbali za ulaya, muziki wa kisasa kama vile Bongofleva, Zuku, Bolingo na miziki mingine mingi ambapo pia vyakula mbalimbali vitapatikana. 2q 
Hii ndiyo mandari yake kwa ndani 3q 5q 6q 7q 8q 
Injinia wa sauti akiweka sawa mambo yake 9q 
Kaunta ikiwa imesheheni vinywaji mbalimbali tayari kwa kutoa huduma kwa wateja, 10q 
Kaunta ya chini nayo ikiwa imesheheni vinywaji.

No comments:

Post a Comment