BI FORTUNATA RAYMOND (MENEJA NHIF LINDI) ANATANGAZA KIFO
CHA BABA YAO MPENDWA MZEE RAYMOND KULLAYA KILICHOTOKEA TAREHE 21/12/2014
HOSPITALI YA DR. MVUNGI KINONDONI DAR ES SALAAM,MAZISHI YATAFANYIKA
TAREHE 30/12/2014 KIJIJI CHA CHEKERENI-MOSHI.
IBADA
YA KUMUOMBEA MAREHEMU NA SHUGHULI ZA KUAGA KABLA YA SAFARI YA KUELEKEA
MOSHI KWA MAZISHI ITAFANYIKA KATIKA KANISA KATOLIKI HANANASIFU KINONDONI
SAA 6:00 TAREHE 29/12/2014.
HABARI ZIWAFIKIE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI POPOTE WALIPO
***BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA,JINA LA BWANA LIHIMIDIWE***
No comments:
Post a Comment