December 04, 2014

SUMATRA YATAHADHARISHA WANAOSAFIRI KIPINDI CHA MSIMU WA SIKU KUU ZA MWISHO WA MWAKA

Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafi wa nchi kavu na Majini, Dk Oscar Kikoyo akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake Dar es salaam leo juu ya hali ya usafiri kipindi cha siku kuu za Krismas na mwaka mpya ambapo ametahadharishja abiria kuto kukubali kutozwa nauri za juu na pindi ikitokea hivyo Sumatra ipewe taarifa haraka.  Soma taarifa kamili hapa chini. 

NAURI HALALI ZA MABASI YA MIKOANI

No comments:

Post a Comment