Mrusha
mkuki, Mathias Shija kutoka Bandari za Maziwa akijaribu kete yake katika mchezo
huo.
Mrusha mkuki kutoka Bandari Dar es Salaam akijaribu
kete yake katika mchezo huo.
Suleiman
Mwalilo a.k.a Kingsley kutoka Bandari ya Dar es Salaam akikata upepo katika
michezo ya Bandari ‘Inter-Ports Games’
Damian Mkobokwa wa timu ya Makao Makuu na
wenzake wakianza mchezo wa kupokezana vijiti.
Wavuta kamba kutoka timu ya Bandari Maziwa
Wachezaji wa timu ya Kamba Wanawake kutoka
Bandari ya Tanga wakiwa kazini.
Mechi
kali kati ya Bandari Maziwa na Mtwara ambapo Mtwara walishinda moja bila.
Mchezaji
wa Bandari ya Dar es Salaam, Juma Taliata akiangalia namna ya kumpita mchezaji
wa Bandari Tanga.
Mchezaji
wa Bandari ya Dar es Salaam Agustino Malombe akifunga kikapu wakati wa mchezo
kati yao na Bandari ya Mtwara katika viwanja vya Bandari Club mjini Mtwara.
Wachezaji
wa mpira wa netball wakiwa katika picha ya pamoja kuonesha kuwa michezo ni
furaha na undungu.
No comments:
Post a Comment