Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini leo ikulu jijini Dar es Salaam
Rais
wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakikagua gwaride la heshima, wakati Rais
huyo wa Afrika ya kusini, akiondoka nchini baada ya kumaliza ziara yake ya siku
moja.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (kushoto)
na Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma wakifurahia burudani ya ngoma za asili,
wakati wakiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Rais Zuma alipokuwa
akiondoka baada ya kumaliza ziara yake ya siku moja nchini.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.
Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Rais wa Afrika ya Kusini, Jacob Zuma, Uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, wakati akiondoka nchini baada ya
kumaliza ziara yake ya siku moja.
No comments:
Post a Comment