Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (wa
tatu kushoto) akikata utepe kuzindua rasmi Majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya
Uanasheria kwa Vitendo Tanzania, wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi iliyofanyika
jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria, Angela Kairuki, kwa pamoja wakifunua kitambaa
kuweka Jiwe la Msingi katika Majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria kwa
Vitendo Tanzania, wakati wa hafla ya uzinduzi wa majengo hayo uliofanyika leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma
hotuba yake wakati akizindua rasmi Majengo ya Taasisi ya Mafunzo ya Uanasheria
kwa Vitendo Tanzania, katika hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam, leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kutoka kwa Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Angela
Kairuki, walipoingia katika chumba maalum cha mafunzo ya Uanasheria kwa vitendo
wakati wa uzinduzi wa Majengo ya Taasisi hiyo ya Mafunzo uliofanyika leo.
Mafunzo kwa Vitendo yakiendelea katika Taasisi hiyo,
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipanda mti wa kumbukumbu katika eneo la viwanja vya Majengo ya Taasisi ya
Mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo Tanzania
Baadhi
ya Viongozi na wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi huo,
wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed
Gharib Bilal, wakati akihutubia, katika uzinduzi huo.
No comments:
Post a Comment