Mbunge
wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akifurahia ushindi baada ya
kushinda nafasi ya kwanza kupeperusha vema bendera ya Tanzania baada ya
kuibuka mshindi mbio za mita 100 akifuatiwa na Isaac Melley wa Kenya na
Tom Aza wa Uganda aliyeshika nafasi ya tatu.
Wabunge
wa Tanzania Halima Mdee na Ester Matiko waliendeleza ubabe wa bunge la
Tanzania dhidi ya wenzao baada ya kushika nafasi ya kwanza na pili
katika mbio za mita 1,500 na kuwaacha wenzao kutoka Uganda, Kiiza
Winfred na Kangi Elizabeth wakishikilia nafasi za tatu na nne.
Mbunge Ester Matiko wa Tanzania akijiandaa kukimbia mbio za mita 400,ambapo aliwatimulia vumbi wabunge wenzake kutoka Kenya, Uganda na bunge la Afrika Mashariki (Eala).
Kaimu Spika wa bunge la EALA Chris Opoka akizungumza katika ufunguzi wa mashindano hayo
Mkuu wa wilaya Arumeru Mhe Nyirembe Munasa afungua mashindano ya michezo kwa wabunge ambapo
aliwataka wachezaji kuacha kuamini imani za kishirikina na badala yake
wamtegemee Mungu kwani michezo ni kazi kama ajira nyingine
Wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania wakifwatilia ufunguzi rasmi wa bonanza la mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kulia ni kiongozi wa timu ya bunge la Tanzania Idd Azan katikati ni Mh.mbunge Stevin Ngonyani a.k.a Maji marefu
Wabunge wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania wakifwatilia ufunguzi rasmi wa bonanza la mabunge ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kulia ni kiongozi wa timu ya bunge la Tanzania Idd Azan katikati ni Mh.mbunge Stevin Ngonyani a.k.a Maji marefu
Mkurugenzi wa KeyMedia Agency Limited Bi Anna
Lazaro akiwa na wabunge wa Tanzania leo jijini Arusha katika mashindano
ya michezo mbalimbali yaliyoandaliwa na EALA(East African Legislative
Assembly)
Katikati
Mkurugenzi wa KeyMedia Agency Limited Bi Barbra Lazaro akiwa na wabunge
wa Tanzania leo jijini Arusha katika mashindano ya michezo mbalimbali
yaliyoandaliwa na EALA(East African Legislative Assembly)
Aliyevalia t-shart ya njano ni designer mkuu wa kampuni ya KeyMedia Agency Limited Bahati Masawe akiwa na waheshimiwa Wabunge
Mbunge wa EALA kutoka nchini Tanzania Mh.Twaha Taslama akiwa anavuta kamba wakati wa mashindano ya hayo
Mbunge wa Kenya akiwa amebebwa juju baada ya kushinda katika mbio za mita 100
Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mkoa wa Mara, Ester Bulaya akiwa anashangilia kwa furaha katika mashindano hayo
Spika wa bunge la EALA Dk.Margaret Zziwa akiwa anawapa maelekezo wabunge wake
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EAC), Shyrose Bhanji akiwa anatimua vumbi katika mashindano hayo
Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EAC), Shyrose Bhanji akiwa na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari
Mtangazaji wa Redio 5 David Rwenyagira kushoto akiwa na Abdalah Ibrahim amabo walikuwa ma MC wa shughuli hiyo
Waandishi wa habari wakiwa katika picha ya pamoja na wakurugenzi wa KeyMedia Agency Limited Bi Barbra Lazaro
Kushoto
ni Mkurugenzi wa kampuni ya KeyMedia Agency Limited Bi.Barbra Lazaro
Keiya akiwa na Mwandishi mwandamizi Swaleh Mdoe wa gazeti la the citizen
kutoka Kenya katika Uwanja Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
Wabunge wa Tanzania wakiwa wanafatilia mashindano
No comments:
Post a Comment