Jeneza
lenye Mwili wa aliewahi kuwa Mwanamuziki Mkongwe hapa nchini,Marehemu
Shem Ibrahim Kalenga ukiwasili kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es
Salaam tayari kwa safari yake ya mwisho.Marehemu Kalenga alifariki Dunia
jana katika hospitali ya Amana,Ilala alikokuwa akipatiwa Matibabu.
Umati
Mkubwa uliojitokeza kwenye mazishi ya Marehemu Shem Ibrahim Kalenga
wakijumuika pamoja kubeba Jeneza wakati wa Mazishi yaliyofanyika jioni
ya leo kwenye Makaburi ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam.Picha zaidi
zinakuja muda si mrefu. Source: Michuzi Media
No comments:
Post a Comment