December 12, 2014

DEO FILIKUNJOMBE AZINDUA MRADI WA MAJI KIJIJI CHA DODOMA


Mbunge wa  jimbo la  Ludewa Deo Filikunjombe akinywa maji kwa majani ya miti baada ya kuzindua mradi wa maji na kukabidhi vifaa vya kuvuta maji  vyenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 14.5 kwa wakazi wa kitongoji cha Dodoma kijiji  cha Amani Ludewa.

Mbunge wa Ludewa  Deo Filikunjombe akisoma maandishi mara baada ya kuzindua mradi wa maji kitongoji cha Dodoma kijiji cha Amani 

Mbunge  Filikunjombe kushoto  akifurahia utamu wa maji 
Filikunjombe  akitengeneza matawi ya miti  kuwa  chombo  cha asili cha  kuchotea maji 
Upandaji wa mlima  kutoka kwenye chanzo cha maji ulivyomtesa mbunge Filikunjombe 


Wananchi  wa kitongoji cha Dodoma  wakifurahia maji 
Wanawake wa kitongoji cha Dodoma kijiji  cha Amani wakiwa  wamemkumbatia  mbunge  wao Filikunjombe kwa furaha  baada ya kutimiza ahadi ya maji 
Mbunge  Filikunjombe mwenye  kijani kulia  akikabidhi  baadhi ya  vifaa vya maji kwa wananchi wa kitongoji cha Dodoma Ludewa 
Wananchi akifurahia vifaa  hivyo 
Baadhi ya  vifaa  hivyo 
Mbunge Filikunjombe  akiwahutubia  wananchi hao kwa   furaha 
.Mbunge  wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe  akiwahutubia  wananchi wa kitongoji cha Dodoma kijiji cha Amani wilayani Ludewa baada ya  kukabidhi vifaa vya maji  vyenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 14.5 jana  huku mmoja kati ya  wanawake  wa  kijiji  hicho akiwa amelala miguuni mwake kama sehemu ya  kushukuru kwa msaada  huo 
Wananchi  wakifurahia  wakati  mbunge  Filikunjombe akiwahutubia 

No comments:

Post a Comment