December 12, 2014

AJALI YA GARI YAJERUHI MMOJA QUALITY CENTER

Mkazi huyu wa Dar es salaam ambaye jina lake halikupatikana akivija dani usono baada ya kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea hii leo mchana katika maegesho ya magari ya Quality Center. Gari aliyokuwa akiendesha mwana dada huyu iligongwa ubavuvuni na gari lingine aina ya Toyota Land Cruiser iliyokuwa mwendo kasi ikipita eneo hilo.
Wananchi wakiwa eneo la tukio
Walinzi katika kituo cha biashara cha Quality Center wakijaribu kutawanya watu.

No comments:

Post a Comment